alphaigogo.com
NIMECHOKA, SITAKUBALI KUENDELEA KUONA WANANGU WAKISONONEKA NA SITAKAA KIMYA.” *** JACQUELINE MENGI-2 - alphaigogo.com
Jacqueline mpendwa, naomba uwelewe kua hakuna anayepinga maamuzi yako ya kuolewa na marehemu mzee Mengi, nawala hakuna anaeweza kuleta ubishi kwenye hilo kwani ni maamuzi ambayo marehemu aliyaafiki na kuweka wazi akiwa katika utashi wa akili zake timamu! Hilo halina mjadala! Naamini hata watoto wa marehemu walikubaliana na hiyo hali, ndio maana kuna siku ulituwekea video mkiwa Hyatt Regency
Alpha Igogo