alphaigogo.com
“Ninagonjeka” - alphaigogo.com
Leo ninamaumivu makali sana ya muscles za mgongo. Hasubuhi ya leo nilipokuwa nafanya mazoezi ya tumbo nafikiri nili pull muscles in a wrong way basi nimekuwa kama mtu niliyepigwa na electric shock jinsi maumivu yalivyokuwa makali! Nimetumia pain killers wapi! Basi jioni hii baada ya mwanangu kutoka kazini kanikuta kwenye maumivu makali mno siwezi hata kukaa wima ?? akaenda ninunulia dawa
Alpha Igogo