alphaigogo.com
NYONGEZA: HARUSI YA ISAKA NA SARAH. - alphaigogo.com
Video hapo juu ni muhtasari wa harusi ya Isaka na Sarah, imetengenezwa na studio za Mc Rhevan. Mr and Mrs Jacob Massawe Zifuatazo ni baadhi ya picha za ziada na video zilizotengenezwa na camera binafsi za wanandugu. Naziweka humu ili ziwe sehemu ya kumbukumbu. ...... Hapo juu ni dada wa bwanaharusi Magreth Rhoda-Nyasungu a k.a Magreth Otieno
Alpha Igogo