Its Mothers’ Month

FB_IMG_1431736919668Beautiful pictures of Theo Andrew and her children. Nothing compares to mama’s love!Be blessed ladies.

FB_IMG_1431737011973

Kutoka Facebook

FB_IMG_1431572642338Nimependa sana hizi  picha ya Mrs. Lyimo.  kapendeza sana. Kitu Musoma line hiyo, a.k.a Mara’s Product 😉 😉

FB_IMG_1431572629159Simply beautiful!

Manhood

2015-05-13 23.35.18Nice picture of the Chairman of Utegi Technical Enterprises  (T) Ltd and SAOLIGO Holding Sir. O.O Igogo.  Picture was just recently taken when Igogo  attended some business meetings in Brussels, Belgium.

FB_IMG_1430360638808

Kutoka Facebook

2015-05-13 23.07.12

Nimependa sana hizi picha za Prisca Onyango kutoka Mwanza. Just beautiful!

FB_IMG_1431576381075

Busara za marehemu baba wa taifa

FB_IMG_1431572248881

Manhood

FB_IMG_1431572436836Father and son moment, nimependa sana. Mbarikiwe.

Busara za marehemu baba wa taifa

FB_IMG_1431572224593

Kutoka Facebook

FB_IMG_1431572344473Nimependa sana picha hizi za da Tuma. Kapendeza sana. #NaniKamaMama

FB_IMG_1431572335257

Its Mothers’ Month

FB_IMG_1431572682365Regina Mugetta a.ka Mrs. Lyimo na watoto zake. Nani kama mama?!

FB_IMG_1431572654273

Its Mothers’ Month

Happy mama happy home! Nani kama mama?! Ubarikiwe sana aunty yake

FB_IMG_1431572475598FB_IMG_1431572499958

Its Mothers’ Month

Hapa ni da Tuma na wanae. Wamependeza sana, Mungu awabariki sana. Nani kama mama?

FB_IMG_1431436035945FB_IMG_1431572372185p

Its Mothers’ Month

Jane Daniel  Oming’o na binti yake kipenzi Grace Ngereza siku ya gratuation yake MSc-IT. Nani kama mama?!

FB_IMG_1431569671469FB_IMG_1431569718284FB_IMG_1431569653703

Its Mothers’ Month

Bado tuna shereke mama zetu kwa mwezi huu wote. Pichani ni mama Eve Lance na mama yake kipenzi. Mmependeza sana watani zangu nani kama mama?! Ubarikiwe sana mama.
FB_IMG_1431569999299

FB_IMG_1431569799285Hapa ni mama Lance na binti yake kipenzi siku ya engagement.

Happy Mother’s Day to all mothers

FB_IMG_1431032618796Napenda kuchukua fursa hii kuwatakia Furaha ya Sherehe ya Wakina Mama duniani kote. Mimi binafsi nashukuru sana Mungu kwa kunipendelea kuwa mmoja wa uzao wa tumbo la mama yangu. Naamini nisinge kuwa hapa nilipo kama si kwa maombi ya kila siku kutoka kwa mama yangu, ambayo huniombea kwa Mungu bila kuchoka.

2015-05-07 17.00.27

Mama nasema asante sana. Nakuombea maisha marefu, yenye furaha na amani zaidi ya uliyo nayo. Nakupenda sana mama yangu.

FB_IMG_1431032101193Prisca (Ls) ni rafiki yangu tulisoma wote secondary, hapa alikuja nyumbani kunisalimu toka Mwanza ambako ndipo anapoishi. Asante Prisca nawe nakutakia Happy Mother’s Day.

2015-05-09 20.23.10

Nani kama mama? !

2015-05-09 20.24.41Hapa ilikuwa siku ya birthday yangu na tulikuwa tunaelekea kwa dinner.

2015-05-09 20.30.27Nakushukuru sana mama yangu, si tuu kwa kunilea mimi kama mwano bali pia kwa kunisaidia kwa malezi ya mwanangu.

2015-05-07 17.06.06Happy Mother’s Day to all mothers in this world!!

Its Mothers’ Month

FB_IMG_1431032209812Pichani ni Mercy na mama yake mzazi

FB_IMG_1431187462681Nani kama mama?!

Its Mothers’ Month

NANI KAMA MAMA?!

IMG-20150509-WA0004Pichani ni Suzy Igogo na mama yake mzazi siku ya gratuation yake.

IMG-20150509-WA0005Beautiful,  wamependeza sana!

IMG-20150509-WA0006Hapa Suzy na mama yake walikwenda kutembele makumbusho ya baba wa taifa kikijini Butiama. Mama yake Suzy yeye ni Mzanaki, kabila la marehemu baba wa taifa, lakini aliolewa Ujaluoni na baba yangu mkubwa hivyo mimi namwita mama mkubwa. Ubarikiwe sana mama yetu.

Its Mothers’ Month

FB_IMG_1431033267336Fina Nyongo na mama yake mzazi Mrs. Kimati. Hapa ni 6 yrs ago, ilikuwa siku ya Kitchen party ya Fina. Jamani, nani kama mama?

FB_IMG_1431033187658Mama kimati akiomboleza kifo cha mme wake late Dr. Kimati. Tunamshukuru Mungu kwa kila jambo. Tunajifunza mengi sana toka kwa mama zetu; upendo, kuheshimu Mungu, uvumilivu,pia pamoja na jinsi ya kukabiliana na matatizo mbali mbali yanayo tupata kama vifo vya wapendwa wetu. Pole sana mama. Nani kama mama?!

FB_IMG_1431033286985Hapa Fina Nyongo na mtoto wake wa kwanza George Jr. By the way Fina Nyongo was is our 2015-Hottest And Best Couple Of The Year. Kusoma zaidi, bonyeza HAPA

FB_IMG_1431033147583Hapa ni Fina Nyongo na binti yake mpendwa Georgina Faith: Nani kama mama?!

Its Mothers’ Month

FB_IMG_1431033770229Nani kama mama?! Zawadi Owiti Kakoschoke au mama Amika (means mama Amani na Malaika) na binti yake aitwaye Malaika.

FB_IMG_1431033625923FB_IMG_1431033610245

Its Mothers’ Month

2015-04-06 02.27.55Christopher a.k.a Kibabu na mama yake mzazi Eddie Musira: Nani kama mama!

Its Mothers’ Month

2015-05-07 17.03.36Hapa ni Neema Musira (last born) na mama yake. Mama Musira ni mtoto wa kwanza kuzaliwa katika familia ya mama yangu mzazi. Pia yeye alikuwa kama mama mlezi wa mama yangu wakati pindi alipo kuwa akisoma Rugambwa Secondary School.

FB_IMG_1431032374664Hapa ni Makubwa, mimi, na da Eddie (1st born wa makubwa) back in 2010 Nilipo enda wasalia ndugu zangu wa Musoma baada ya kutoka kusalima ndugu zangu huko vijijini Utegi na Kowak.

FB_IMG_1431032356626Nani kama mama?!

Blog