Pete ya ndoa ni pingu ndogo, chagua mfungwa mwenzio kwa makini!

Mr and Mrs Mali Kimesera katika ubora wao! Wamependeza eeh! Hadi raha sana! Wamechaguana, wakawezana!............... Sasa ninekutana na hii msg nikaipenda:>> Eti kuwa pete ya ndoa ni pingu ndogo sana ambayo ni ya umilele hivyo tafakari sana. Chagua mfungwa mwenzio kwa makini na ujihukumu kwa busara ili kuhepuka  kutoroka gerezani! ???? #ChapterClosed  >>>>>>> "Wedding rings are the smallest handcuffs ever.  So think deep. Choose your prison mate carefully and sentence yourself wisely to avoid any prison break." Bishop Larry Boyd

Leave a Reply