alphaigogo.com
Peter Sarungi: UPANDE WA GIZA NA MWANGA WA BINADAMU - alphaigogo.com
UPANDE WA GIZA NA MWANGA WA BINADAMU. Binadamu ameumbwa katika ukamilifu ulio kusudiwa na Mungu na ndio maana akiwa kichanga anakuwa mtupu asiye tambua baya wala zuri. Binadamu huyu anaanza kuondoa ukamilifu wake pale anapo ona, kusikia, kusoma na kutenda mambo yaliyo najisi. Akisha tambua baya na zuri ndipo anapo kuwa sio kiumbe kikamilifu. Binadamu huyu sasa anakuwa na pande mbili ya
Alpha Igogo