alphaigogo.com
Picha nilizopenda siku ya leo - alphaigogo.com
Monica muke ya Masanja Mkandamizaji! Kapendeza sana na kipara chake......natural beauty on point?? East West home is best! Mh. ShyRose Bhanji akichuma maembe huko Butiama alipokwenda kwenye sherehe za Nyerere DayHuyu dada nimesahau jina lake la kwanza ila nakumbuka last name ni Mwaipaja! Nimeona picha yake huko Facebook nikapenda jinsi alivyo simple na kapendeza pia her skin texture is
Alpha Igogo