alphaigogo.com
Picha nilizopenda siku ya leo - alphaigogo.com
Msanja Mkandamizaji na mkewe wakiwa huko Dubai baada ya ibada. Nimeona Masanja amesema ibada zote ndani ya Dubai huwa zinafanywa siku ya Ijumaa! Sina huwakika na hilo kwani kuna Wasabato ambao wanaishi Dubai na wanaishi huko sijui kama na wao wana sali siku ya Ijumaa Mr and Mrs Stephen Mndalila kutoka U S.A........ Wamependeza sana
Alpha Igogo