alphaigogo.com
Picha nilizopenda siku ya leo! - alphaigogo.com
Urafiki unanoga sana kama ukipata rafiki muaminifu! ..........May Igogo (kushoto) pamoja na rafiki yake. Wamependeza sana Wadada wa nguvu! Hawa ni marafiki toka wakiwa secondary hadi leo hii ambapo kila mmoja anakwake lakini bado wameshibana! Nice!
Alpha Igogo