alphaigogo.com
Picha nilizopenda siku ya leo! - alphaigogo.com
Nimependa hii picha ya Bella Ayugi-Twakyoondo nafikiri hii milima itakuwa alikuwa Tanga! Mtu kwao ati! Ukipenda boga sharti upende na ua lake! Beautiful! Magreth, kapendeza sana Hawa Gwao, kinyumbani zaidi! Kapendeza sana
Alpha Igogo