alphaigogo.com
President Lambert Tibaigana: Hatuta saidia mtu ambaye hasaidi wengine - alphaigogo.com
https://youtu.be/CTx7GZrIdzk Rais wa jumuiya ya Watanzania waishio katika jimbo la Houston, Texas Hon. Lambert Tibaigana akielezea kwa kina baadhi ya maazimio ambayo yalijadiliwa na kupitishwa na wana jumuiya hiyo na pia akigusia mambo machache ya msingi ambayo katiba ya jumuiya hiyo imezingatia. https://youtu.be/3hA5-NdLolU Kama wewe ni Mtanzania unayeishi katika mji wa Houston na vitongoji vyake basi tunakuomba ujiunge na wanajumuiya wengine katika kuiendeleza
Alpha Igogo