alphaigogo.com
Pumzika kwa amani ya Bwana mtoto wa dada yangu! - alphaigogo.com
Kutoka kushoto: Alpha mkubwa, Alpha mdogo (R.I.P) na dada Pendo Igogo (mama Alpha). Pumzika kwa amani ya Bwana wajina wangu Alpha! Ilikuwa heshima kubwa sana pale ulipo zaliwa, dada yangu Pendo Igogo akasema huyu mwanangu nampa jina Alpha kumuenzi mdogo wangu anipendaye sana. Ilikuwa ndio njia pekee ya yeye kunionyesha upendo wake kwangu na jinsi anavyo shukuru kwa upendo wetu
Alpha Igogo