alphaigogo.com
Quote for today! - alphaigogo.com
Nimependa hii picha ya Kiki na baba yake. Naamini sio mimi tu naweza sema kwa mara ya kwanza kumuona baba yake mzazi Kiki. Mara nyingi nimekuwa namuona na mama yake pamoja na ndugu zake wengine. Wanafanana haswa pua. .......Wamependeza sana ? QUOTE FOR TODAY!.... “A man's worth is measured by how he parents his children. What he gives them, what he keeps
Alpha Igogo