alphaigogo.com
R.I.P mzee Naftali Kwang’a Adhero! - alphaigogo.com
Kwa masikitiko makubwa sana kwaniaba ya familia ya Mzee Otieno Olung'a Igogo naomba kuchukua nafasi hii kutuma salamu za pole za msiba wa mzee Naftali Kwang'a Adhero kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa, marafiki, na wana Kowak wote! Mwenyezi Mungu wa rehema awape faraja katika kipindi hichi cha maombolezo. Awape nguvu ya kuweza kuanza maisha mapya bila uwepo wa baba. Poleni
Alpha Igogo