alphaigogo.com
Repost:- Je, Zari ataweza kubeba “bendera” za nchi mbili? - alphaigogo.com
Katika Biblia kuna maneno yanasema 'hakuna mtu awezae kutumikia mabwana wawili'! Yani kiufupi lazima mmoja utampendelea na mwingine utamuonea kwa mapenzi ya uwongo! Sasa, wote tumeshuhudia maisha ya Zari na Ivan mpaka kuachana kwao. Lakini pamoja na hayo Ivan bado hakuona mtu mwingine ambaye angefaa kulinda mali zake, watoto wake, na kuhakikisha kuwa his Legacy forever lives zaidi ya
Alpha Igogo