alphaigogo.com
Safari ya mama Washington DC - alphaigogo.com
Siku iliyofuata, tuliamka na kupata breakfast, kisha tukaendelea na mizunguko yetu. Nilitaka mama aone Washington DC yote kila jengo la office na majumba ya matajiri wa huko. Bahati mbaya au nzuri mama alikataa kutembea alidai amechoka kwasababu ya mizunguko ya jana yake. Hivyo, ikabidi tuchukue tour bus ambayo ilituonyesha sehemu zote tulizopenda kuona. Of course, nimuhimu kusalimiana
Alpha Igogo