“Save your sorry”!

Embu tuongee kidogo wapendwa, hivi nawewe umechoka na hawa watu ambao wanakutenda tena kwa makusudi halafu akitegemea kuwa atakuja kukuomba msamaha and everything will go back to normal ?? Najua hakuna mkamilifu lakini kuna vitu fulani mtu akikutamkia au kukutendea kama ni mtu unaye jithamini lazima useme No! You have crossed the line, "save your sorry" to someone else! Kama Janet Jackson kwenye hii movie  ??  (tazama clip ?)........... Yani mimi sijui nimekuaje siku hizi nafikiri watu wamechukua upendo na ukarimu wangu kama udhaifu hivyo kwa muda mrefu I put up with a lot of crap! But ma'am! Some must happened with my 40th birthday, I have ZERO tolerance with Unkind people, ungrateful people, wale watu ambao unakwenda above and beyond for them only to be " verbally and emotionally abuse"??? Boy!! Save your sorry! Sio at this age! Kama ni  teenager unaweza sema you are in that age trying to figure out who you are but at this age! Nope! Wewe na your sorry Okwende huko (in Luo accent) ?? I will forgive you  but our friendship will never be the same again!

 

 

Leave a Reply