Shikamoo Wabongo!

Kumbe kuna ubuyu mtamu hivi unanipita ?? Sorry wapendwa, nimebanwa kidogo!........... Jamani Instagram mambo ni ??? mambo hayasemeki!! Huku bado nashangaa King Kiba akicheza "seduce me" na bibi kule Chato (Mama yake mzazi Rais Magufuli) Mara paap! Nakutana na  ya "Mr and Mrs Tanzania" a.k.a  Wema na Diamond! Mara vichambo vya kudai lakimoja ya bia kutoka kwa Moses Iyobo! Sijakaa sawa wengine wanadaiana viwanja, mara mama Cookie naye kapandisha ??? nageuka nisome vizuri mara wengine wana "rambana rambana" na Kinje Ngombale Mwiru ??? Jamani!! Shikamoo Wabongo!! Hivi hivyo ndivyo mnavyotumia social media??!! Halafu huu ukimwi unawapataga Wasabato tu ????? hivi kwa jinsi ambavyo mnachangia wanaume / wanawake  mbona haujawakamata?? ??? Dah!! So sad to say the least!! Haya Mr and Mrs Tanzania are back in the postlight, najua Shingongo na timu yake wamefurahi sanaaa ??? Swali, will they get married this time?!! ?? Well, Diamond hajaoa na Wema yupo available it's all about "survival for the fittest" ???? Huu uCelebrity wenu mtakuja kutoana roho siku moja!! It's only the last day of January but ma'am!!! It's going to a very interesting year, andaeni papocorn movie ndio kwanza inafanyiwa majaribio ??? Mungu awasaidie! Poleni wenye waume zenu maana siyo kwa evidence zile ???

 

Leave a Reply