Shilawadu! Shilawadu! Naomba mumuache Zamaradi alone!

Nimeingia Instagram hasubuhi hii nikaona Zamaradi akiwalalamikia “Shilawadu” ikabidi niingie nisome maana nilikuwa sijui hiyo account yao!………Eti wanamuita mume wa Zamaradi “Mission town”?! Hivi kuna mission town kuliko Wahaya?! Hata hapa Marekani wapo mnataka tuwataje ??? Halafu kwani yeye ndio wakwanza kuwa mission town mbona hata huyo Ruge alikuaga mission town before ?? “Ruge & Kusaga” sasa chaajabu ni nini? Watu wote huwa wanaanza huko hivyo yeye siyo wakwanza na wala hatakuwa wamwisho!! Na Mungu anajua kuwa Zamaradi anaweza akamtoa kwenye mission town na kuwa Boss mkubwa tu hapo Bongo! Hivyo hayo ya mission town muachieni mwenyewe Zamaradi nyie fanyeni yenu!………. Kwanza bora mission town anaye jiheshimu kuliko mwenye pesa ambaye ni “mali ya Umma” kila mwanamke wa mujini ana share zake hapo! Sasa si bora huyo Ruge atembee bila nguo watu wajue kachanganyikwa? Kha!!…….. Halafu mnamuita mission town wakati huyo teyari ni  “step dad” wa watoto wa Ruge? Yani hapo bado hamjamkuta kwenye pozi la picha na Juhjuh na Shubi ndio mmepagawa hivyo? Hivi siku Ruge akisikia Juhjuh na Shubi wanamuita huyo mission town “Baba” si atazimia kabisa?? ………. Haya acha mission town akulele mama watoto wako na wanao, mpaka siku akili zirudi wenzako watakuwa wana wajukuu ??? Huu ubuyu mtamu zaidi yaule wa Diamond na Zari ??  ……….Hawa Wahaya wanajifanya wataalamu wa kuonyesha watu jinsi ya kukamata fursa wakati wao fursa zinakuja na kukaa kwenye malango yao lakini wanashindwa kuzikamata ??? Hivi mnajua sasa hivi Wahaya wangekuwa wameandika history ya kuwa na mke muendesha ndege?!! Do you guys remember Captain Hilda Ringo Vs Mujuni Makubo?! (Wahenga wa ma blog mtatujua. tu ??) Eti wakamzingua Captain Hilda kwakuwa hajui kupika?! Like WHAT???!! Mtu anaendesha ndege bado wanataka awe mtaalamu wa kupika?!! ?? Hivi unajua ali sacrificed vingapi kujifunza kuendesha ndege?! Mimi mwenyewe naogesha wazee na bado chapati zimenishinda kupika sasa itakuwa Captain wa ndege? ???? you must be kidding me?!?? Halafu kama walikuwa wanataka mtoto wao aowe mwanamke anaye jua mapishi si wangemwambia akatafute mama ntilie aowe? ??………..Haya Zamaradi huyo naye kawatoa nishai sasa mmebaki kusema “mission town”! Semeni tena habari ya mission town niwaonyeshe mission town wa Kihaya hapa Marekani ??? Vita ya Shilawadu na Mission Town haijawai kumuacha mtu salama??……….Finally, leave my brother Paul Makonda out of your mess! Kuoa mshindwe nyie halafu hasira mzimalizie kwa kaka yangu?! Shame on you!

One thought on “Shilawadu! Shilawadu! Naomba mumuache Zamaradi alone!”

Leave a Reply