alphaigogo.com
Simulizi za maisha ya mzee Igogo kwa maneno yake mwenyewe! - alphaigogo.com
MATUKIO YA LEO 19.02.2020 KWA MFADHILI:- 1. Bi Mole Akungo, mjane wa marehemu Akungo fundi magari, aliyekuwa Mwajiri wa Mkurugenzi John Orwanda. Anaumwa kisukari na kasikia tuna dawa ya Jufeel, pamoja na kukosa uwezo wa kujikimu. 2. Dada yangu wa kihindi Bi. Dirishan mlemavu wa Kibiongo aliniita kumtembelea kwake, ndiye aliyekuwa mwenye ofisi ya mtaa wa mshihiri na
Alpha Igogo