alphaigogo.com
Tafadhai, tuendelee kumkumbuka mama yake Zari katika maombi yetu! - alphaigogo.com
Nilikuwa nimekwenda kuchungulia Instagram kidogo nikakutana na hii picha ya watoto zake Zari, the Bosslady. Nikaipenda laki i caption yake imeniuma sana. Tafadhali tuendelee kumkumbuka mama yake Zari ambaye amekuwa mgonjwa toka wiki iliyopita hivyo Zari yupo Uganda kwa sasa akimuuguza mama yake. Pia tuwakumbuke hawa watoto ambao nao bado wanapitia kipindi kigumu cha majonzi ya kufiwa na baba yao.
Alpha Igogo