“She is the Tanzanian Designer of the century-the ExtraOrdinaire Kiki Zimba”-Mwamvita Makamba

screenshot_2016-12-01-17-51-02-1Jamani mie mgeni Bongoland sijui pakupata viwalo vizuri wala designer mwenye hadhi ya kimataifa. Sasa Mwamvita Makamba katuhakikishia kuwa hakuna designer kama Kiki Zimba ndiyo mambo yote! Tafadhali mpigie kura ya ndio katika kile kipengele cha The Best Designer of the Yr kwa brand yake ya Kiki Fashion ??

Leave a Reply