Tanzia: Pole sana mtani wangu!

Screenshot_2016-06-24-08-25-29-1Kwamasikitiko makubwa sana, naomba nichukue nafasi hii kumpa pole mtani wangu kipenzi Evelyin Lance kwa kufiwa na mama yake mdogo aunt Phibe. Kama ninavyo share nanyi mara nyingi sana picha za mtani wangu akiwa na furaha, basi itakuwa ni uungwana kwangu mimi  ku-share nanyi picha zake au hali yake ya huzuni haswa wa kufiwa na ndugu yake wakaribu sana.

Mtani wangu (kushoto), Late aunt Phibe (kati), pamoja na mama yake mzazi mtani wangu ambaye pia ni dada wa marehemu
Mtani wangu (kushoto), Late aunt Phibe (kati), pamoja na mama yake mzazi mtani wangu ambaye pia ni dada wa marehemu

Mtani wangu, sina maneno ya faraja ambayo yanaweza kukuondolea maumivu uliyo nayo kwa sasa wewe pamoja na mama Eve, na ndugu wote!Lakini naomba ufahamu kuwa nimeguswa sana na msiba wa aunt and my thoughts and prayers are with you and your family. Mungu awape faraja na nguvu yakuweza kuyashinda yote wakati huu wa msiba mzito wa aunt! Pole sana my darling mtani, mama yetu Mama Eve, familia ya marehemu, ndugu, jamaa, na marafiki…… Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe milele zote! R.I.P aunt Phibe ?

Leave a Reply