alphaigogo.com
Tanzia: Pumzika kwa amani mama Guka - alphaigogo.com
Kwamasikitiko kwa niaba ya familia ya mzee Otieno Igogo tunatoa pole kwa mtoto / mdogo wetu Guka Otieno Igogo na familia ya mama yake kwa kufikwa na msiba mzito sana wa mama yao mzazi. Kama familia naomba mtambue kuwa tumeguswa sana ma msiba huu na dua na sala zetu zipo pamoja nanyi siku zote haswa wakati huu wa maombolezo. Bwana
Alpha Igogo