alphaigogo.com
Tanzia: pumzika kwa amani ya Bwana baba mkubwa mzee John Obure! - alphaigogo.com
Marehemu mzee John Obure enzi za uhai wake Kwaniaba ya familia ya Mr and Mrs O.O Igogo naomba kuchukua nafasi hii kutoa salamu zetu za pole kwa familia ya marehemu mzee John Obure na Mwalimu Anna Cornel Awiti a.k.a Mrs John Obure, kilichotokea alfajiri ya leo huko Mwanza, Tanzania. Tunawaombea utulivu na amani wakati wote wa maombolezo wa msiba
Alpha Igogo