alphaigogo.com
Tanzia: R.I.P Kenneth Alexander Igogo - alphaigogo.com
Kwa masikitiko makubwa sana kwaniaba ya familia ya marehemu mzee Alexander Olung'a Igogo, familia ya mzee Otieno Olung'a Igogo, na familia yote ya babu mzee William Olung'a Igogo wa Utegi, Rorya, Mara. Naomba kutangaza kifo cha kaka yangu Kenneth Alexander Igogo a.k.a Ukombozi kilichotokea leo majira ya mchana saa za Africa Mashariki katika hospitali ya Bugando, Mwanza. Mipango ya mazishi
Alpha Igogo