alphaigogo.com
Temeke SDA Nursery and Primary School watoa shukrani kwa mama Igogo! - alphaigogo.com
Mama Igogo akitazama kwa furaha picha iliyochorwa kwa taswira yake. Wanao onekana kwenye video hapo juu ni baadhi ya wafanyakazi wa Temeke SDA Nursery and Primary School walifika nyumbani kwa mama Igogo mchana wa jana tarehe 09/27/2021, masaa ya Africa Mashariki, kwaajili ya kutoa shukrani zao za dhati kwa mchango wake wa hali na mali ambao aliutoa toka kuwaza yakwamba
Alpha Igogo