alphaigogo.com
Ukijua umekosea basi huna budi kuomba msamaha! - alphaigogo.com
Katika vitu ambavyo ni tabia yangu hata wale ambao wananifahamu vizuri na niwatu wa kuongea ukweli basi wanaweza kushuhudia hili. Mimi ni mtu ambaye nikijua nimekosea au hata kuumiza hisia za mtu mwingine basi huwa sioni haibu kuomba msamaha, kwani huo ndio ubinadamu! Kama mtu alinikwanza kiasi cha kunifanya niongee vitu ambavyo katika hali ya kawaida siwezi kuongea basi nitamwambia
Alpha Igogo