I upgraded Ruge Mutahaba!

Mmeona shemeji yangu Ruge jinsi alivyo ongea kisomi?! ‘Kijana’ kaongea kwa ma-confidence kama Rais bwana Β (in Haya’s accent)! Yani huyu Muhaya ni kichwa usipime! Na sasa nimeamua kum- upgrade siyo Loser tena ni Hero wa Watanzania. Na kwakuwa ni mambo ya kupokezana kijiti basi kijiti chake kipo pending kwasasa mpaka report ile ya tume ya Nape Mnauye itakapo kamilika halafu tutamkabidhi mtu fulani πŸ™ Β …… Huko nyuma nilisemaga hivi TheTwoBiggestLosersΒ  πŸ™‚ πŸ™‚ kwakweli nimecheka sana! What was I thinking?! Kha! Ogopa mwanamke akiwa amekasirika πŸ™‚ πŸ™‚

Halafu mimi sipendi tabia ya watu wanao bugudhi Wahaya!! Mnajua mie nina ubiya wa kudumu na Wahaya πŸ™‚ πŸ™‚ Β leave my Hayas’ alone peeople!! Β …… Haya Ruge nitafute uchukue hela yako ya lunch umefanya kazi nzito sana πŸ˜‰ πŸ˜‰

Leave a Reply