alphaigogo.com
Usikose The MboniShow kesho! - alphaigogo.com
Alikuwa mtangazaji wa zamani wa Radio One hapa Tanzania lakini kwasasa ni Mtangazaji wa VOICE OF AMERICA (VOA) Nchini Marekani.. Thembonishow inakuleta karibu na ndugu na jamaa waishio nchini Marekani #HII NDIO THE MBONI SHOW usikose kuangalia show ijumaa saa moja kamili jioni.
Alpha Igogo