alphaigogo.com
wakati wao wakiendelea kutoa fact kuna wengine wanapiga hatua za vitendo ~~~~~ Zamaradi Mketema - alphaigogo.com
Wabishi waliishi miaka mingi sana, chunguza hata katika wengi waliofanikiwa sio wenye elimu iliyopitiliza ama waliotoka kwenye familia zenye uwezo PEKEE hapana, ila ni wale waliokomaa na NDOTO ZAO haijalishi background zao ni zipi, leo hii wasomi wangapi wameachwa mbali na watu kutoka streets tu, wakati wao wakiendelea kutoa fact kuna wengine wanapiga hatua za vitendo kupigana na haya maisha
Alpha Igogo