alphaigogo.com
Walijua hili? - alphaigogo.com
Najua wengi ambao wanaishi katika inchi ambazo zimeendela wame punguza sana matumizi ya Cds au Dvds, lakini haimaanishi hawana. Vile vile watu wengi walipo nyumbani (Tanzania) bado wanatiziumia sana Cds na Dvds katika shughuli mbali mbali za ku record na kuhifadhi nyaraka mbali mbali haswa wanamuziki na wanafunzi wa secondary. Sasa basi, si wanasema kizuri kula na mwenzio lol! Unajua jinsi
Alpha Igogo