alphaigogo.com
Wametengeneza historia kwetu! - alphaigogo.com
Kama maelezo ya picha zao yanavyo someka. Hawa wajukuu wa Chief Sarungi Igogo wametengeneza historia ndani ya ukoo wetu kwa mwaka huu! Mnamo tarehe 11 mwezi wa Kumi; Maria Sarungi-Tsehai alikuwa mmoja wa watu walioalikwa kutembelea WhiteHouse ya Marekani chini ya group lijulikanalo Kama Eisenhower Fellowship ambapo walipokelewa na mwenyeji wao Rais Baraka Obama ••••••• Vile vile wiki hii siku ya tarehe
Alpha Igogo