alphaigogo.com
“watu wema wengi huishia kuwa na sifa ya UBAYA vinywani mwa watu lakini kwa kuwa MUNGU NDIE ANAELIPA!!”>>>> Zamaradi Mketema - alphaigogo.com
Tenda wema unavyotenda, kuwa mwema unavyokuwa, mpende binaadamu unavyoweza, muoneshe kumjali kupitiliza, niamini kitu kidogo kitamsahaulisha yote makubwa tena hakuna ajabu kukuta kinachomfanya akuone mbaya ni haki yako, hakuna anaefanya jema kwa mtu ili alipwe, ila kuna ile hali ya KUONA na kuthamini juhudi anazofanya mtu ambapo hiyo inapokosekana ndio unakuta mtu unakuwa dissapointed kwa namna fulani, maana mara nyingine
Alpha Igogo