Watu wenye imani ni watu wenye uadilifu na kusamehe!

Kuna hii post nimeikuta kwa Mrs Paul Makonda ambayo inasema kuwa " People of Faith are people of integrity and forgiveness"!........ Hii ni kweli kabisa, kwani kumcha Mungu ndio mwanzo wa HEKIMA. Hekima ndio itakayo kusaidia kufanya some conscious decisions katika maisha ambayo ni matendo yenye uadilifu! Hekima inatoka kwa Mungu hivyo lazima uwe na IMANI ili uweze pata hekima! Halafu dini zote zinathibitisha kuwa uadilifu na uaminifu kama nguvu kuu ya kiroho. Pia kusamehe ni tabia ya watu wanyenyekevu watu ambao wanapenda kujishusha for the glory of God! Kumbuka kuwa Mungu wetu ni mpole na nyenyekevu! Nimesema nyenyekevu zio #Zezeta kuwa mnyenyekevu haimaanishi basi ndo uwe mjinga kuwa uache tu watu wakuonee wee au wakudhalilishe bila kufanya kitu, hapana! Hata pepo hukemewa ili likome na kukimbia!  "People of faith are people of intergrety and forgivenes"!  #Deep #RealTalk

Leave a Reply