Wema Sepetu na bibi yake

Wow! Kumbe Wema ni copy & paste ya bibi yake! Sina huwakika kuwa ni bibi upande upi lakini nadhani ni bibi upande wa mama maana naona rangi ya ngozi zimefanana sana. Unajua inaleta raha sana kama tunakuwa tunapata nafasi ya kuona the other side of family’s ya the so called “stars” wa Bongoland! Sio kula bata tuu au kuweka picha na mashoga wa mujini!………..Mnajua nani natamani kumuona ?? mama yake mzazi Jackqueline Mengi! For some reason I’m curious to see how she looks like and maybe hear her voice!…..anyway Wema kapendeza sana na bibi!

Leave a Reply