alphaigogo.com
Zamaradi Mketema: Asieheshimu muda wako haheshimu maisha yako. - alphaigogo.com
Asieheshimu muda wako haheshimu maisha yako. MUDA NI MAISHA, na ndiomana tunaishi kwa ratiba na deadlines hata kwenye maofisi, na hata kwenye maisha ya masomo kikawaida kuna ratiba ya kuanza na kumaliza kutokana na umri, ingekuwa kila kitu kinafanyika kwa muda mtu anaojitakia vitu vingi visingekuwa vilivyo, hivyo heshimu sana muda wako na wa wengine pia, na usiruhusu mtu autumie ndivyosivyo
Alpha Igogo