alphaigogo.com
Zamaradi Mketema: Simama kwenye sehemu ambayo hata mtu aamue kujiongeza kwa namna gani asiweze kusimama kwenye sehemu yako - alphaigogo.com
Regrann from @zamaradimketema - Wanaofanikiwa kuonekana haraka mara nyingi ni wale walio kwenye makundi ya peke yao, na zaidi kuonekana kwao kunadumu. Hakikisha unakuwa wa tofauti kiasi akose wa kulinganishwa na wewe, usiende na crowd. Usifanye kama wanavyofanya wote, usiige njia za wengine, wala usilazimishe identity zilizokuwa zimeshafanikishwa na wengine (zisizokuwa zako). Simama kwenye sehemu ambayo hata mtu aamue kujiongeza kwa
Alpha Igogo