Zari don’t leave Diamond!!

Zari I am deeply sorry my dear! But I beg you to stay! Don’t leave Diamond!……..Unajua mwanzoni niliongea bila kusikiliza interview ya Diamond na Leo Tena!………Sasa baada ya kusikiliza ndio nimejua nini kina endelea……….

 Zari is just  another Victim ya mimi kumuweka hapa kwa blog yangu! O’yes! Believe me! Kama wengi hamjui kuna mtandao mkubwa sana hapa Marekani na baadhi yao wapo UK ambao unatumia mgongo wa “siasa” kunichafua na kuichafua familia yangu!! Sasa watu waathirika wakubwa ni watu nianao waweka hapa kwa hii blog yangu!! Yani kama hao watu hawata nikana mimi na familia yangu (watoto wa mama yangu) basi wakiwekwa humu watafanyiwa kila mikasa na kutukanwa bila wao kujua sababu. Huu mtandao umeniandama mimi kwa muda mrefu sana kabla hata sijaanza ku-blog when I was in Kalamazoo, Michigan!

 Mimi mwanzoni sikujua nini kina endelea nikamwambia baba yangu kuwa I think some people are stalking me, hakunielewa why? Hii story ni ndefu sana but to make it short siku zao zinafika wote watajulikana tuna wachora tu! Mimi nilitaka to commit suicide mara mbili because no one believed me first wakifikiri nimechanganyikiwa! Oh! Yes! Usinione na simama na baba yangu Dr Magufuli na nitasimama naye mpaka nakwenda kaburini because he saved my life!! Nimtandao wa watu wengi sana mpaka Wachungaji wa Kisabato wamo kwenye huu mtandao! Baadhi ya ndugu zangu nao wapo kwenye huu mtandao.

 Kuweni makini sana haswa wanachama wa CCM na picha mnazopiga na watu kwani hawana nia nzuri. Nia yao nikuwachafua watu wa CCM au ambao wazazi wao wapo CCM! Mimi nilipiga picha na mzee Tenende na some people kwenye DICOTA 2012 in Chicago mtu akaja niuliza maswali ambayo siku yaelewa mpaka nikatoa baadhi ya hizo picha. Kumbe hapo ndio walikuwa wameanza mchezo wa kuni stalk! And even to this date this people are stalking me but since I know what is going on mimi nawachora tu!!

 Na huyu Hamisa lazima atakuwa anatumika!!…..,,…… Nayule mwanadada mzungu koko mwenye TV uchwara pale Dar es salaam kaeni naye mbali sana. She is a devil in a Lamb cloth!! You all know who I’m talking about!!  And please get this very clearly I don’t have “step mother” so when someone comes to you kuwa ni step mother wangu! Don’t listen! Wote ni mtandao huu!! ………Zari I’m deeply sorry for what you have to go through because of me!! But rest assured this is under control!!

Leave a Reply