alphaigogo.com
Usikate tamaa! - alphaigogo.com
Katika maisha watu tunapitia shida tofauti, na kila mtu ana kikomo cha uvumilivu wake. Lakini siku ya leo ningependa kuwasihii wapenzi wasomaji kuwa usikate tamaa. Mimi kuishi kwangu hapa Marekani kumenifanya nijuwe aina tofauti ya watu, nani ni rafiki wa kweli, na nani mwenye mapenzi ya dhati na maisha yangu. Pia imenifanya nijuwe uwezo wa kiwango cha uvumilivu wangu. Katika hii
Alpha Igogo