Napenda kuchukuwa fursa hii kumpongeza Jane D. Oming’o kwa kufanikiwa kumaliza elimu yake ya degree ya pili katika mchepuo wa Science in IT (MSc-IT). Hongera sana my cousin, ni mfano wa kuigwa kwa watu wote husunani wanawake wa Kitanzania.
Jane akisherekea graduation yake pamoja na familia yake, ndugu zake, marafiki zake, na jamaa zake wa karibu akiwemo mdogo wake mpendwa Dr. Elizabeth Daniel Oming’o kutoka Dar es salaam, Tanzania.
Dr. Elizabeth Daniel Oming’o (Ls) na Jane Daniel Oming’o……..I can see the joy of sister’s love
Jane and her husbandFamily and friends showing some love to Jane
Wamama na watoto zao, wanajivunia na kufurahi cheo chao cha mama. Mbarikiwe sana wamama wote duniani.
Mama G, na Georgina Faith from Sydney, Australia Regina and her beautiful daughters from Massachusetts, USA Mama Mika and Malaika: Pictures taken in Japan. Behind them is Mt. Fuji
Hahaha! Ngoja nicheke kwanza, maana mambo yamekuwa mambo hahaha! Usifikiri mtu anajiandaa na harusi yake, hapana. Haya ni maandalizi ya Zari the Bosslady All White Party. Kitu cha May Mosi 2015 pale Mlimani City 🙂 🙂 chezea mtoko wa Diamond na Bosslady wewe sharti uvae gauni la harusi 🙂 🙂
Happy birthday to the beautiful and mathematics genius Veronica Sarungi. Talking about brain, beauty, humbleness, and God fearing lady right here! Najua mpaka hapo umesha barikiwa sana tuu, ila nakuombea Mungu azidi kukubariki sanaaaaa!! Happy birthday my beautiful cousin-sister..
What a beautiful smile from two beautiful sisters…….blessed always!
Tanzania ni inchi iliyo jaliwa kuwa na makabila mengi sana, nafikiri (sina huwakika) ndoyo inchi inayo ongoza kuwa na makabila mengi dunia. Na kitu kinachofanya Tanzania ionekane unique mbele ya uso wa dunia, ni kotoka na ukweli ya kwamba pamoja na wingi wa makabila yaliyomo ndani ya inchi; hakuna kabila lenye nguvu kuizidi nyingine. Kitu hichi nitafauti sana na mataifa mengine barani Africa, ambapo utakuta kuna kabila moja au mawili uanajiona ‘superior’ kuliko mengine, na hivyo husababisha migongano na migogoro mingi ndani ya inchi husika.
Lakini kwa leo nataka niseme hili kuhusu kabila la waluo au wajaluo kama wengi waitavyo. katika kila kabila kuna mila na desturi zake, basi baadhi ya desturi ya Mluo ni kuto kuvaa khanga, kuto kupiga magoti wakati wa kusalimu, na kuvaa vizuri siku ya mazishi hasa kama wewe ndiye muhusika mkuu kwenye msiba huo.
Mimi kwakweli kama ningeolewa kwenye makabila ambayo culture zao ni zile za kupoga magoti; basi mie naona ningeachika 🙂 🙂 Yani ni kitu ambacho siwezi kabisa, na naogopa kuiga nisije siku nikaanguka bure mbele za watu.
Pia si desturi ya Mluo kwa wanawake kuvaa khanga. Sema sikuhizi mambo yanaingilia unaweza kuta baadhi ya wamama wakijaluo wakivaa khanga hata kwenye misiba. Khanga kwa desturi ya mluo huwa inatumika kama pambo fulani ambalo huvaliwa kwa kuwekwa begani. Lakini kama nilivyo sema sikuhizi kuna vitu vingine ambavyo huko juma vilikuwa vinatendwa na specific tribe lakini leo hii vipo common katika makabila mengi-na khanga ni moja ya mfano huo.
Kitu kingine ambacho ni sehemu ya culture ya Mluo, ni kuvaa vizuri na kusherekea baada ya mazishi. Mila na desturi za mluo zina amini kifo ni sherehe ya mwisho ya kila binadamu hivyo inafaa kuaherekewa kama ilivyo katika sherehe zingine kama kuzaliwa, na kuoa / kuolewa. Waluo ni watu ambao siku ya mazishi watu wata vaa vizuri sana na baada tuu ya mwili kuwekwa kaburini basi kiyakacho fuata ni kula, kunywa, na kucheza. Nakama ikatokea aliye fariki ni mtu aliyekuwa akiheahimiwa sana hapo anapoishi basi sherehe itakuwa kubwa sana na mbwembwe za kifahari nyingi sanaaa, kama vile kuvyatua risasi angani, kuchinja ng’ombe zaidi ya wawili ili watu wale na kusaza, na mambo mengine mengi sana.
Picha hapo chini ni za wiki iliyo pita ambapo mama yangu pamoja na shangazi yangu-Theresia Nyobuya walienda huko Karungu, Kenya kwenye msiba wa mme wa bibi yetu mdogo (Mwenye nguo nyeupe. Marehemu bibi yetu mzaa baba (Rhoda Igogo) yeye alitokea maeneo ya Kenya. Na huyu mjane ni mdogo wake pekee ambaye yu hai. Hivyo basi baba yetu anamchukulia kama mama yake mzazi kwa sasa, kwani mama yake alisha fariki. Pole sana bibi yetu, and R.I.P babu yetu.
Kitu kingine ambacho nilimwambia mtu hakashangaa, ni kwamba wajaluo hawajui kitu matembele wala kisamvu. Na mkowa wa Mara huwa hatupiki kwa kutumia nazi na wala sijawahi ona nazi mkowa wa Mara, wanapika na maziwa au organic cheese (jibini).
…………..Mama yangu mzazi, bibi (mjane), na Shangazi Theresia Nyobuya……………………..Bibi yangu na mashangazi zangu
One of the amazing beautiful families I ever known. The Mashimis’ family from Atlanta, Georgia, looking beautiful as usual. God keep blessing you guys. Much love from “Michigan”
The Kakoschokes’ family as usual got to post their pictures, may be am obsessed with them LOL! But frankly, wanapendeza wanavutia sana. Bado wapo vacation, wametoka Japan sasa on their way to their nex destination……more pictures visit www.maisafari.com
Kama kawaida ni mewahaidi kila juma Pili nitakuwa naweka picha za families zaidi. Hivyo basi leo tuna anza na dada yetu kipenzi Shy-Rose Bhanji ambaye huyo Los Angeles, California kwa sasa akisalimia familia ya ndogo wake aishie huko.
Kwa kweli wamependeza, na wanavutia sana. Mbalikiwe ma binti wa Bhanji.
Kunatabia ambayo baadhi ya watu wanayo yakupenda kupachika watu wengine majina ya bandia (labeling people) kutokana na maumbile yao kama unene au ulemavu wa kiungo fulani au mahala wanapo ishi. Huwenda wanafanya hivyo kwa kujua au kutokujua lakini kiufupi si tabia nzuri na si tabia ya kiungwana hata kidogo.
Utakuta mtu anapachikwa jina “bonge” eti kwasababu tuu ni mnene?! Tena watu wanaona sawa kabisa kuitwa hivyo bila woga! Kitu ambacho si sahihi hata kidogo, kwani huyu “bonge” anajina lake halisi, na sidhani kama kuna mtu hapa duania anapenda to be called out of their names or label them just because of the situation of which sometimes is beyond their control, or even worse it might be something that they have been struggling with it and here comes someone start to label them!!
People often take advantage of our relationships, thinking they have the right to justify their bad behavior because they are our sisters, brothers, cousins, etc Kwasababu hao ambao huwa wanapachika watu majina huwa ni watu wenye uhusiano wa karibuni na victim. Jamani, watu kuzaliwa au kukulia nyumba moja haimaanishi kuwa mta experience things or being treated the same way; na kila mtu mwili wake na akili (psychology) vina react tofauti hata kama is the same situation. Hivyo ku gain weight siyo mara zote zinaletwa na chukula, saa nyingine ni kwa sababu ya emotional issues ambazo mtu anazo moyoni mwake na huwenda hajapata wa kumwabia. Every human being is fighting a battle you don’t know about!! Hivyo basi wewe mtu ambaye unatoka huko na kuanza kumpachika majina unakuwa unamuumiza zaidi badala ya kumsaidia.
Hivi mbona kuna watu hawawezi kuzaa kwa sababu mbali mbali, mbona I don’t see people walking around calling them wagumba au tasa? Why you think its okay to call someone bonge kwa sababu ni mnene? Kuna watu wana makengeza au chongo basi nao tuanze kuwaita majina kwa ulemavu wao kama tunavyo waita watu ambao ni wanene!SMH!
Wewe utajisikiaje kama ni mlemavu wa miguu au hata ndugu yako umpendaye ambaye ni mlemavu halafu watu waka mpachika jina na kumwita “kiwete” badala ya jina lake halisi? Si huungwana wala ubinadamu hata kidogo to label people or calling people out of their name especially if the name has something to do with her / his physical disability /situation. In fact no one has to adhere with anyone else’s specifications to be the person whom God created them to be!! We need to respect and be kind to one another!!
Nimependa sana hii picha yya Tabu akiandaa samaki fresh and organic toka Mwanza. Ni zawadi ambayo aliletewa na cousin-sister wake.”Undungu ni kufaana, undugu si kufanana!”
Wahenga walisema furaha ya dunia watoto! Na hakuna kitu kizuri kama kuwa mtoto maana huna bills zozote zile za kulipa, yani wewe kazi yako ni kula, kucheza, na kulala. Kazi ngumu ni kucheza kama unavyo waona watoto hawa walivyo busy na michezo na pozi katika picha. Mungu awalinde na azidi kuwabariki wa toto wote.
Happy 18th wedding anniversary to Mr. And Mrs. Ngeli
“18 years ago God gave me a best friend, a partner in crime, a person to love, care and pray for. I learned a lot from you darling and most of all you have encouraged me to be strong, confident, and successful woman I am today. And most of all you have made me a queen. I will do it all over again with you because I have enjoyed every minute of it. Thank you and Happy anniversary my husband” ……….those sweet, sincere, and touchy words are from the wife- Tumaini.
Happy 3rd birthday gorgeous baby Amaya! May you live long, may God keep blessing you grow up and wiser, loving, and caring woman. We all love you and wish you the best in your life!
Here’s baby Amaya and aunt Alpha back in 2013 in Dar es salaam, Tanzania at Amy’s great grandma resistance.
At the same time its not too late to wish Amaya’s mother a happy birthday. Mitsuka enjoyed her birthday on April 15.
Here’s Mitsuka with her grandmother mama Juma Nne. Current Mitsuka is in Tanzania visit her grandmother.
Leo kutoka Facebook nimependa hizi picha. Hata model huwa wanapika” hayo ni maneno yake mrembo wetu Miriam Odemba akiwa ameambatanisha na picha kama hizi. Safi sana Miriam, ni mfano wa kuigwa.
Happy birthday to my dearest mtani and college-mate Eve Lance. May God keep blessing you always. Enjoy your vacation in Tanzania and my regards to mama.