Women over 40 yrs!

Nimeipata hii article kwenye Facebook nikaona siyo mbaya ku share nanyi……..

“Ladies and gentleman, this is a must read!!! THIS HAS BEEN WRITTEN BY A MAN……….This is for all you girls 40 years and over….. and for those who are turning 40, and for those who are scared of moving into their 40’s…AND for guys who are scared of girls over 40!!!!…. This was written by Andy Rooney from CBS 60 Minutes.   Continue reading Women over 40 yrs! →

Kama hujaelewa sakata la TRA soma hapa ?

Najua kuna baadhi ya watu ambao hawajaelewa nini haswa kimetokea na imekuwaje mpaka kitokee. Basi niomeona ni share nanyi hii post ya “Le mutuz” kwani ameandika kwa lugha nyepesi sana ambayo mtu yoyote yule anaweza elewa. Soma ?  Continue reading Kama hujaelewa sakata la TRA soma hapa ? →

Joke of the day!

Screenshot_2015-11-27-13-18-02-1Nimependa hii new #WhatWouldMagufuliDo?  Inachekesha pia inafundisha vijana kufikiria vitu katika mtazamo mwingine ambao ni mzuri zaidi. #WhatWouldMagufuliDo?

Family time-Wahayaz ??

FB_IMG_1448805080155Hapa nimesema “Wahayaz” lakini sio wote ni wahaya ila kwasababu kuna mtani wangu hapo ndio maana ?   Continue reading Family time-Wahayaz ?? →

Family time-the Teshas

FB_IMG_1448805344586Sweet! Kwenye upendo wa Mungu utaona tuu ? wamependeza sanaaaaaa! Mbarikiwe sana wapendwa!

Family time-The Mashimis

FB_IMG_1448805134435-1Beautiful pic of the Mashimis’ family. But someone is missing in the picture  (baby MonicaSue) ? it’s all good, mbarikiwe sana!

Wazazi tizameni watu kwa macho matatu!

Screenshot_2015-11-29-08-08-19-1Sijui nieleze vipi ili nieleweke na iwaingie akilini kweli kweli pale ninaposema wazazi siku zote “treat everyone as a suspect!” Kamwe usiamini mtu na mtoto wako awe wa kiume au wakike! Hii story imekuja mwanzoni mwa wiki iliyopita November 20th, huyu daktari wa meno ajulikanaye kama Dr. John Wolf (mh! Hiyo last name yake tells all about him) amekamatwa na kufikishwa mahakamani kwa makosa ya kuuza/ kusambaza picha za uchi za watoto (child pornography), kuuza na kusambaza madawa ya kulevya (drugs; meth), na uwenezaji wa HIV!  Continue reading Wazazi tizameni watu kwa macho matatu! →

Happy Thanksgiving!

#TBT Holiday season 2011
#TBT Holiday season 2011

You are every reason, every hope, every joy, and every dream I’ve ever had! And no matter how old you get you will always be my precious little angel! You are my greatest gift from God! He gave me at the time even myself knew that I am empty, weak, and helpless; but I received it with thankful-heart! For that you will forever be my Thanksgiving thankful praise to God! I love you now, but tomorrow I will love you even more! Happy Thanksgiving my darling daughter ❤? FB_IMG_1448498005238Dear readers, friends, and family; wishing you all a very happy Happy Thanksgiving Day. May you all be surrounded with greatness!……..with love Alpha and Mercy!

Kutoka Facebook

FB_IMG_1448462694445-1The Dr herself! Lovely pic of Dr. Elly Kihengu all the way from Houston, Texas. So beautiful! Be blessed Dr.

Joke of the day!

FB_IMG_1448465492270?”Before the Kanu Cock crows you will deny me three time!“ ??   Continue reading Joke of the day! →

Hot shot of the day

FB_IMG_1447967276007Wow! Ain’t they cute! So hot! I wish Miriam Odemba asiwe anavaa mawigi. Yani anapendeza sana nakipara chake! Anyway, mbarikiwe wapendwa.

Mother and son moment

FB_IMG_1448462725475Beautiful lovely picture of da Eddah Gachuma and her son Muddy! I just love it and can’t lie ?? pendeza sana. God bless you all, enjoy your motherhood da Eddah ??

Happy 5th birthday Kylee

I know I’m a minute late ? but please cutie-pie  here is my heartfelt birthday wishes to you.  May you live long to conquer the world! God bless you! Happy 5th birthday Princess aunt Alpha loves you ?? FB_IMG_1448462647926

A word of wisdom!

Steve Jobs’ Last Words: FB_IMG_1448376748043

I reached the pinnacle of success in the business world. In others’ eyes, my life is an epitome of success. However, aside from work, I have little joy. In the end, wealth is only a fact of life that I am accustomed to. At this moment, lying on the sick bed and recalling my whole life, I realize that all the recognition and wealth that I took so much pride in, have paled and become meaningless in the face of impending death. In the darkness, I look at the green lights from the life supporting machines and hear the humming mechanical sounds, I can feel the breath of god of death drawing closer……  Continue reading A word of wisdom! →

Hot shot of the day

FB_IMG_1448298390367Gorgeous picture of former Miss Tanzania-UK Hawa Gwao! Inahitaji utaalam wa hali ya juu kuchana nywele namna hiyo. Hivi karibu naye atafungua blog yake ambayo itaongelea maswala mbali mbali hususani urembo wa mwili, ngozi, na nywele! Nitawajulisha akiwa tayari…………..So beautiful! Ubarikiwe sana.

Jared Fogle ahukumiwa miaka 15 na miezi 8!

rtr1gknwMahakama imemuhukumu Jared Fogle kwenda jela miaka 15 na miezi 8 na life-time supervision. Pia fedha zake zitachukuliwa na kupewa watoto ambao waliathirika naye pamoja na ex-wife na wanawe. Unaweza google hilo jina lake  na kusoma hukumu yote. Kuna baadhi ya watu ambao hawajafurahishwa na hukumu hiyo kwani wanasema alitakiwa kupewa kifungo cha maisha! Nilisha wahi andika story yake siku za nyuma, kama hukubahatika kusoma waweza soma hapa ? Mungu awalinde watoto wote na haya mapepo. Amen!

Mother and daughter moment

FB_IMG_1448298377553picha nzuri sana ya Hawa na watoto wake. Wamependeza sana na kama tujuavyo Christmas ipo njiani. Basi wao walienda kutembea mall wakakutana na Santa wakaona si mbaya kupata kumbukumbu naye! Mbarikiwe sana.

Joke of the day

My new car!!!! I got my car finally today!!

FB_IMG_1448232934078 I’m not showing off, I just want to tell you that a person should have a dream, if you try your best your dream will come true!! Don’t ask me why I chose a silver colour, it’s just easier to clean  ??? umepatikana au?

 Credit to Mombobiad

Father and son moment

IMG-20151122-WA0002Baba na kijana wake. Nawapenda sana tena sana waha watu kwenye picha. Kwamsio mjua huyu ni kaka yangu mkubwa ndo first born wetu. Hapo yupo na kijana wake anaitwa Gabriel a.k.a Gabby.  Continue reading Father and son moment →

kheri ya siku ya kuzaliwa dada Hawa!

FB_IMG_1448314051071-1Kheri ya siku ya kuzaliwa dada yetu kipenzi.  Tunamshukuru Mungu kwa kukupa nafasi ya kuuona mwaka mpya wa kuzaliwa kwako. Tunakuombea akuongezee  hekima, busara, na upendo. Ukapate kuwa na maisha mema na mazuri yaliyo jaa upendo, amani, na furaha nyingi zaidi ya jana. Kheri ya siku ya kuzaliwa da Hawa. Tunakupenda ??