alphaigogo.com
My 2017 best baby of the year: Mtoto wa Hamisa Mobetto - alphaigogo.com
Huyu mtoto alisimamisha dunia ati!! Nani atasahau jinsi mamilioni ya watu around the globe walikaa chini kusikiliza interview ya Diamond na Clouds fm ili kutaka kujua mimba ilitungwa lini na kama kweli Diamond ndio baba halisi na halali wa Prince Dylan ??? Yap! Kuna baba wengine ni baba
Alpha Igogo