alphaigogo.com
My 2017 best family moment: The LB family - alphaigogo.com
Huko nyuma nilishawahi kusema kuwa hii picha imekosha moyo wangu, soma ?? (HiziPichaZimenikosha) na mpaka sasa bado zinanikosha. One of the best family moment of the year kwa hii blog! Ukweli hata kama familia mnapendana kiasi gani lakini kama hamshirikiani katika maswala ya kujiinua kiuchumi, maendeleo, na kiroho basi upendo wenu ni BATILI! Yani ni upendo wa
Alpha Igogo