alphaigogo.com
My 2017 best love drama: Ndoa ya Zamaradi Mketema - alphaigogo.com
Kama kuna drama ya mapenzi ambayo ilishangaza wengi na watu wengi wakaguswa nayo ni break-up ya Zamaradi Mketema ma Ruge Mutahaba!! Siyo kitu rahisi kuachana na such a powerful figure like Ruge Mutahaba. Lakini jinsi Zamaradi alivyo ikabili (handled) swala zima its just amazing! She handled it like a real woman ambayo imemfanya siyo tu kupata heshima zaidi
Alpha Igogo