alphaigogo.com
My 2017 best song: Zezeta - alphaigogo.com
https://youtu.be/C_cp5lJ6VY4 Najua kuna nyimbo nyingi sana ambazo ni nzuri zilizo imbwa na wanamuziki mbali mbali lakini #Zezeta bado umekamata macho na masikio yangu! Huu wimbo gives me life kwakweli! Maneno yake yamepangiliwa vizuri, yanaeleweka, ujumbe unaleta maana, sauti na mdundo ni babkubwa! Video ndio usiseme!! Ipo kwenye ubora wakimataifa. Very clear, haina giza giza wala chenga, wachezaji wamevaa vizuri, na rangi
Alpha Igogo