alphaigogo.com
My 2017 best Tweet: “You are the air that I breathe” - alphaigogo.com
Kuna comment nyingi kwenye hii tweet ambazo zinachekesha sana sema nimechagua hizo tu! Ngoja niwaambie, kwakweli hakuna kitu kizuri kama kumuona mtu kama Dr Mengi anajishusha na kumuheshimu. kumpenda mwanamke namna hii! Yani inavutia sana kuona mtu mwenye elimu yake nzuri sana, anapesa zake, na all the power kwenye public and yet he can humble himself like that!
Alpha Igogo