alphaigogo.com
2017-Hottest And Best Couple Of The Year! - alphaigogo.com
Mr and Mrs Joseph Musira ndio Hottest And Best Couple of the Year!......Sababu haswa ya kuichagua hii couple kwanza nimeamua kwa mwaka huu ni enzi wazee wetu. Pili miaka 53 ya ndoa si kitu kidogo lazima kiheshimiwe! Napia ni kwasababu wanastahili!!......Basi ifuatayo ni historia yao fupi ambayo nitaieleza kwa kutumia picha zao za sherehe ya miaka 50 ya ndoa yao
Alpha Igogo