alphaigogo.com
Usikate tamaa! - alphaigogo.com
watu tunapitia maisha tofauti inategemea na chimbuko la kila mmoja wetu alipotokea yani background yako. Wapo watu ambao wamezaliwa na kukuta kila kitu kipo. Yani mazingira mazuri anayoishi na anauwezo wa kupata maitihitaji ya ziada. Kuna wanao zaliwa na kukutana maisha ya yakawaida, yani si mazuri sana na wala si mabaya. Wanauwezo wa kupata mahitaji muhimu lakini huwezo wa kupata
Alpha Igogo