alphaigogo.com
Kutana na Sophia Makoyo - alphaigogo.com
Kwajina naitwa Sophia Daudi Makoyo, naishi Shirati wilaya ya Rorya. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma (UDOM). Nasomea shahada ya kwanza ya sheria (barchelor of laws). Sababu iliyonisukuma mpaka nikaamu kusomea sheria ni swala zima la haki za wanawake na watoto! Nataka kutetea haki za wanawake pamoja na watoto generally nataka kutetea human rights. Natamania sana siku moja nijiunge
Alpha Igogo